Nani wa kumrithi IGP - Simon Sirro?

Bado kua aliyesalia mwenye uwezo wa akili wa kiwango cha chini zaidi?
 
Mshana Jr anafaa sana kwanza ana ujuzi zaidi wa ulimwengu wa giza na wa kawaida!
Anaweza kumfuata muhalifu jehanam na kumhoji!
 
Amrudishe Mangu, Mangu aliondolewa ili wajipange kumpiga lissu rissasi, mission failed bora arudie cheo chakr
 
Sirro bado yupo sana hana mrithi
 
Ni kweli Mangu aliondolewa kwa kukataa kupokea maagizo ya Jiwe yasiyo na maadili

Badala yake akamchagua mtu ambaye atapokea maagizo yake yoyote, hata Yale yasiyozingatia weledi wa kazi yao

Njia pekee ni kwa Mkulu kufanya kazi yake kwa kuzinhatia Katiba na sheria nyinginezo, ama sivyo kila IGP atakayemteua ATAPATA TABU SANA;
 
cheo ni dhamana tu mjomba .
Nidhamana ndiyo sijakataa lakini ili dhamana hiyo iishe ni mpaka yule aliyempa dhamana aone hamsaidii ndio anaweza kuifuta. Ila kwa utendaji wake bado yupo sanaaa usiwaze mrithi kabisa
 
Dcp Ahmed Msangi ndio mtu sahihi alio bakia.
 
Lema
 
Mbona anajulikana basi tu watu hawataki kumtaja, kwa sasa yupo makao makuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…