We sema tu, lakini hujui maana ya mtu kuishi huku akiwa na order ya kukamatwa kwake mkononi. Hawa watu wamezoea kutembea nchi mbali mbali duniani kama wewe unavyokwenda mjini na kurudi nyumbani. Si kiofisi tu bali hata private...
Kuhusu Netanyahu,kama USA na UK haitajihusisha anaweza kamatika.
Ila Putin one man army hakuna anayeweza kumgusa labda China na Turkiye ila nao ni washirika wa Russia.