Kama sauti ya Mungu leo hii ikashuka na kusikikia ikiuliza...'wanangu wapendwa...ni nani mngependa nimrudishe duniani ili aendeleze yale mnayoyataka'.
Kwa sauti hiyo na swali hilo la Mungu, unadhani ungependa nani arudishwe ili kuendeleza yale unayoyataka?