Nani unamu-admire hapa JF?

hehehe kamanda hapa nimecheka kwa laudi speaker. CPU anakuwa anachukua nyimbo za Pepe kalle halaf anatafsiri kwa kiswahili anatongozea. Hii teknik kama haujui kilingala hauwezi kuishtukia.
Kuna mistari huwa anadondosha nimeiona sehemu kabadili jina tu kutoka Ethel to ... inabidi nimstahi mshkaji au ningeileta hapa.
 
waheshimiwa acheni nilog out bana! hela ya cafe imeisha. stay blessed.

kwavile ukimwi hauna tiba, Acha tukapige ngono zembe sasa
 
NAWACHUKIA WOTE MNAOCHAKACHUA HII THREAD!!Siku njema!!
 

safi sn Ad, we ni mojawapo wa wadada hapa jf wanaojua maana ya nguvu ya hoja sio hoja ya nguv. Thanks.
 
Naipenda JF,
JF ni member, hivyo ni sawa nikisema napenda members wote wa JF,
Kikubwa naona hapa "nothing personal" hili ndio tamu zaidi.
Hivyo mtu atakuboa kwenye thread hii mkaelewana kwenye nyingine.
Kama tupo mtaani tu.
Ila naomba nisifiche...... Asha D ni special kwangu!
 

I love you too Michelle! Please convey BaK's special greetings your loved ones.

Have a lovely and enjoyable Saturday

YouTube - ‪Ne-Yo - Miss Independent‬‏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…