Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,444
Ona ume changanyikiwa, Hadi una ji quote mwenyewe🤣🤣.Sio kupata kwa wakati,wewe hupati kabisa ndio maana una hasira.
Sawa,si lazima kuoaKwani kuoa ni lazima au option tu??.
Mimi ni mtu humble Sana hapa Duniani, ni vile na hype hype tu jf🤣
So,ulitaka ni edit? Nimeona uvivu.Ona ume changanyikiwa, Hadi una ji quote mwenyewe🤣🤣.
Beside my lovely girl, Ali tutoka Mwaka Jana, she had ana accident.
ephen_ Huyu ng'ombe anatosha kuwa mahari yako?View attachment 2940369
Hii ndio Nzaghamba Sasa 😂😂😂
Sawa, imepita hiyo 😊Aje na jike la maziwa😊
Igweeeeeeeeeeeee! Wabheja sana nakuadmire piahhh mwananchi mwenzanguuu💚💚💛💪
Mi nipo tangu 2012,infact nilikuwepo tangu 2009 Ila Kama msomaji tuHata majina enzi hizo yalikua yakibunifu haswa.
Siku hizi Kuna mtu anajiita inamankusweke
Siku hizi sio majina alias Tena, Ni majina halisi na namba za simu.
Siku hizi tendo la ndoa linatajwa kwa jina lake ah, where are we heading in this platform?
I appreciate bro 😎
Hongera inamankuswekeMi nipo tangu 2012,infact nilikuwepo tangu 2009 Ila Kama msomaji tu