Nani unamu-admire hapa JF?

Awwww thanxxx DP...ukichora moja mi nachora mbili!
 
Dou nilikuwa bize naangalia nani ingalau ananihusudu nimekuta kush nehi, but hii hainikatishi tamaa, im spreading my love to my all special friends hawa wako kwenye profile yangu, na wale wote wanaonipenda na wasionipenda. Sina sababu ya kuchukia mtu yeyote hata kama amenikera kwenye uchangiaji wake, sanasana nachukulia kama changamoto ya kuendelea kwenye thread nyingine
 
<br />
<br />
Good!!!
 
Barahaba Kloro habari ya siku.
Ukiwaona kina Lizzy na Mishelle wasalimie.

Karibu mbege, uje na Husninyo.

Halafu muulize Afro D, Paka Mweusi yuko wapi?

Unileletee majibu.

daah mambo vipi mpenzi
ndo nini kupotea hivyo jamani
dahhh Paka Mweusi alikufuata
naye sijui ndo kapotea njiani mmmhh
Hujambo lakini mami??
 

uko kwenye List ya moyo wangu mpenzi..
hujambo lakini?
 
I love you too..
 
Fansidar najua utanshangaa ila naitumia siku zote this time imedunda nahisi

hahahahah lol
Afadhali hata hutumii
za hapo awali mmmhh
nway my dear ugua pole
na nimefurahi kukuona tena..
Jaribu
NUROFEN ukiipata hiyo mmhh
ianasaidia sana
 
Mimi napenda uzi za Pauline lakini tangia nimemsifia tembo kalitia maji siku hizi hata hatundiki kitu ingawaje hujitokeza kuchangia siku moja moja sijui nani kamkorofisha......................Asha D naye hujitahidi...............................siku moja moja vile..............
 
Nawapenda wote wanaoshindana kwa hoja. My favourites ni Dena Amsi, Michelle,Asha D,Preta,First Lady,The Finest,Gaga and You Lizy. Nawachukia wote wanaowatukana wenzao wakikosoa post zao.
Thanx Ennie kwa upendo wako, napenda pia unavyochallenge watu kwenye posts zao
 
Nawapenda wote wanaoshindana kwa hoja. My favourites ni Dena Amsi, Michelle,Asha D,Preta,First Lady,The Finest,Gaga and You Lizy. Nawachukia wote wanaowatukana wenzao wakikosoa post zao.

Hapa akina baba tuna changamoto maana unaowapenda ni wadada(au wenye majina ya kina dada) tu!
 
Hapa akina baba tuna changamoto maana unaowapenda ni wadada(au wenye majina ya kina dada) tu!
Hapana mie mwanamke nawazimia wanaume wengi tu humu kwa michango yao kama MM,MTM,Wilbald,The Boss+, The Finest, Uporoto, Mu-sir,Bubu Ataka kusema( sababu ya Utube),bila kumsahau Rev Mas, bujibuji na wewe ngodya, ni wengi ila hawa wapo on top kwenye list
 
Lizzy, you have always inspired me with your threads and comments.........keep it up.

Of course wengine nao wapo....
 
Naona topic yenyewe ishatupwa pembeni na watu wanaendelea na story zingine, akiwemo Lizzy mwenyewe, na mimi pia (kwa post hii).
 
Naona topic yenyewe ishatupwa pembeni na watu wanaendelea na story zingine, akiwemo Lizzy mwenyewe, na mimi pia (kwa post hii).
Wewe na wenzio ndio....mimi hapana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…