babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,949
- 6,752
Na hasa baada ya kile chama cha wachaga kugeuka watetezi wa wapiga dili imekuwa tabu tupuSiku hizi watu wanataka ushahidi lakini enzi za JK alipokuwa akisema hachukui hatua kwakuwa hakuna ushahidi watu walimwita lege lege.
Kweli kuongoza wa tanzania ni kazi kweli kweli maana hawajui kipi wanataka.
Mbona mkuu wa mkoa aliempokea mamvi kwa heshima kaachwa!?Mimi nachojua sababu ya kutengua nafasi zao ni kusoma taarifa maafa kwa Mh. Lowasa na kupokea mifuko 400 ya saruji. Hilo ndilo kosa Lao. Mengine hayo hayana ukweli.
Upinzani wa tzd unatia karaha na kinyaa mnooo.Siku hizi watu wanataka ushahidi lakini enzi za JK alipokuwa akisema hachukui hatua kwakuwa hakuna ushahidi watu walimwita lege lege.
Kweli kuongoza wa tanzania ni kazi kweli kweli maana hawajui kipi wanataka.
Kinateuliwa na nani?
Aliyesoma si ni kanali mstaafuMimi nachojua sababu ya kutengua nafasi zao ni kusoma taarifa maafa kwa Mh. Lowasa na kupokea mifuko 400 ya saruji. Hilo ndilo kosa Lao. Mengine hayo hayana ukweli.
Unataka kutuaminisha kwamba maamuzi yamefanyika bila data za kutosha?
Da!!!inashangazaMimi nachojua sababu ya kutengua nafasi zao ni kusoma taarifa maafa kwa Mh. Lowasa na kupokea mifuko 400 ya saruji. Hilo ndilo kosa Lao. Mengine hayo hayana ukweli.
Yaan lowassa kama anawabashia vile, wakiachwa wezi wanaogopwaa wakishughulikiwa mnavibrate makalio, Lowassa anafikaje hapa.Bado mkuu wa Mkoa nae Shoka limekwisha kuwekwaa Tatizo hapo ni Lowassa kupokelewa Huyo KIJUU hata maliza mwezi atapangiwa kazi nyingine
uaongelea watanzania wa kipindi kipi? Hiki au cha kikwete?Siku hizi watu wanataka ushahidi lakini enzi za JK alipokuwa akisema hachukui hatua kwakuwa hakuna ushahidi watu walimwita lege lege.
Kweli kuongoza wa tanzania ni kazi kweli kweli maana hawajui kipi wanataka.
Heee!Acha utoto na uccm, umewasikiliza? Unasikiliza upande mmoja unahukumu, nonsense!
Na Jecha!Jasiri mwingine ni le profesa pumba
Heee!
Bila shaka nilichoandika kinaelewekauaongelea watanzania wa kipindi kipi? Hiki au cha kikwete?