mlekulechoma
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 1,366
- 1,059
Acha utoto na uccm, umewasikiliza? Unasikiliza upande mmoja unahukumu, nonsense!Kila nikitafakari sipati picha!ni ujasiri ulioje?hivi dhahama la tetemeko la ardhi serikali ikafungua akaunti maalum ya michango kusaidia maafa kagera....then kuna ndugu wajasiri wao wakafungua ya kwao inafanana na ile akaunti maaalum wapige mpunga!zama hizi huu ujasiri unatoka wapi?kila kukicha nchi hii haikosi maajabu....hii inadhihirisha yafuatayo
1.kuna waungwana ni majasiri kupita maelezo yaan anaweza mkaba roba simba dume kavukavu
2.tulikua tunapigwa sana wakati wa kuchangia maafa..kupita kiasi
Kila nikitafakari sipati picha!ni ujasiri ulioje?hivi dhahama la tetemeko la ardhi serikali ikafungua akaunti maalum ya michango kusaidia maafa kagera....then kuna ndugu wajasiri wao wakafungua ya kwao inafanana na ile akaunti maaalum wapige mpunga!zama hizi huu ujasiri unatoka wapi?kila kukicha nchi hii haikosi maajabu....hii inadhihirisha yafuatayo

weka ushahid kama kweli walitaka kupiga pesa mana sio kila jipu linatumbuliwa kiuhalali kuna mengine ya kukurupuka mana mkulu nae sio wa kumuamini saa zingine ni mtu wa kiki kirikiki kiki kirikiki
kiki kirikiki kiki kirikiki HILI NDO NENO GANI UMETUMIA? Kama ni tusi tutajuaje!
Hao ndio wale 'Inzi hufia kidondani'Kila nikitafakari sipati picha!ni ujasiri ulioje?hivi dhahama la tetemeko la ardhi serikali ikafungua akaunti maalum ya michango kusaidia maafa kagera....then kuna ndugu wajasiri wao wakafungua ya kwao inafanana na ile akaunti maaalum wapige mpunga!zama hizi huu ujasiri unatoka wapi?kila kukicha nchi hii haikosi maajabu....hii inadhihirisha yafuatayo
1.kuna waungwana ni majasiri kupita maelezo yaan anaweza mkaba roba simba dume kavukavu
2.tulikua tunapigwa sana wakati wa kuchangia maafa..kupita kiasi
Unataka kutuaminisha kwamba maamuzi yamefanyika bila data za kutosha?Mijitu mingine bwana kazi ushabiki tu hivi unauhakika subiri uchunguzi ufanyike,ndiyo maana mkuu mwenyewe kasema vyombo vya ulinzi vichunguze,sasa wewe pelelepelele

Wacha wanyolewe tu walizoea kutuumizaa hawa watu, kufa kufaanaKila nikitafakari sipati picha!ni ujasiri ulioje?hivi dhahama la tetemeko la ardhi serikali ikafungua akaunti maalum ya michango kusaidia maafa kagera....then kuna ndugu wajasiri wao wakafungua ya kwao inafanana na ile akaunti maaalum wapige mpunga!zama hizi huu ujasiri unatoka wapi?kila kukicha nchi hii haikosi maajabu....hii inadhihirisha yafuatayo
1.kuna waungwana ni majasiri kupita maelezo yaan anaweza mkaba roba simba dume kavukavu
2.tulikua tunapigwa sana wakati wa kuchangia maafa..kupita kiasi
Hajasikia chui kwenye ngozi ya kondoo?Siku hizi watu wanataka ushahidi lakini enzi za JK alipokuwa akisema hachukui hatua kwakuwa hakuna ushahidi watu walimwita lege lege.
Kweli kuongoza wa tanzania ni kazi kweli kweli maana hawajui kipi wanataka.