Wacha hugo domingo apaige hela kwa ku install majukwaa, props, mapambo na audio visuals. Na wengineo akina efm, clouds na hata wa mikoani pia wanapata riziki kukodisha viti, meza kuuza maji.
Events planner awamu hii cheki zao sio mchezo, marehemu teddy mapunda angepiga pesa mpaka angezidi kuwa mfupi awamu hii.