Hahaha itabidi umuachie mumeo basiMm ni ke kaka hahahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha itabidi umuachie mumeo basi
[emoji15] [emoji15]Hahaha itabidi umuachie mumeo basi
Kweli kabisaNew member welcome
kucheza upatuUnaenda kuwekeza, au kutafuta kazi?
Kweli wewe no mixologistkucheza upatu
Ndugu zangu habari zenu najua kwa sasa Hali ni tete....Ila hoja yangu ni tofauti na yanayo endelea ktk social network.Nampango wa kuumia Namibia so mwenyewe information zozote kuhusu maisha ya huko anijuze,ikiwemo,biashara,nyumba za kuishi....yani kwa kifupi living coast ya Namibia......natanguliza shukrani zangu za dhati