Nani mwenye jawabu ya hii ideological Equationc

Nani mwenye jawabu ya hii ideological Equationc

Mohamed Abubakar

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
1,126
Reaction score
1,290
Ktk somo la itikadi (ideology).

Ideology imetokana na neno idea.

Na hakuna jambo lolote dunia ambalo chanzo si idea.

Je kuna itikadi au ktk itikadi mfano wa chama au Serikali ambao ni universal.

Kama Serikali ina itikadi,

Na dini ni itikadi.

Kwa kuzingatia ktk mfumo wa Kidemokrasia Serikali ni Wananchi wenyewe wanaowakasimu watendaji wa serikali kuisimamia. Je kuna kifungu cha katiba au sheria kinachotoa mamlaka kwa watendaji wa serikali au taasisi kulazimisha mawazo na matakwa yao kuwa ni lazima kwa jamii nyingine kufata. Tumizingatia kauli ya Kifalsafa inayosema. Ubora za Serikali unaamuliwa na Watendaji walio serikalini



View: https://youtu.be/MhTko9cH2XA?si=0NMFRHx8H_Ve2q-_
 
Back
Top Bottom