Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 155
waasi wa ccm ni matajirimuasi wa CCM ni wanyonge.
waasi wa ccm ni matajiri
Saign yako mkuu ni funzo tosha,kwa CCM ni kweli wananchochea udini lakini kuna siku hawatatokatusubiri mtu aje atusahihishe, hesabu zinakataa kabisa,
Hapa naona umechanganya masomo, ndani ya CCM kuna WAASI na MAFISADI.
Waasi ndani ya CCM ni Nape, Sitta and Co walioanzisha Chama ndani ya chama i.e CCJ.
Pia katika CCM kuna mafisadi, by CCM standard mafisadi ndani ya CCM ni EL, AC na RA.
Baada ya ufafanuzi huo unataka kujua kundi lipi? waasi au mafisadi?