Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

nasikia Simba yacheza leo. Mashabiki wenzangu wa Yanga nithibitishieni au kanusheni
 
Watoto
wa kambo tulieni. Machungu ya league mwayaleta kwetu.
 
Huyo refa nimempenda bure, kuna mtu ana taarifa zake kama yuko single tuangalie uwezekano?
 
Mbuyu twite hamna kitu analipwa mshahara wa bure kabisa!
 
Yanga wanafundishwa mpira hapa!
 
Goooo la pili! akanana Munkari tuondoke!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…