Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Maaa'bake, leo hatuachi kitu, hata ile pesa ya mtani jembe tunabeba yote!!
 
Simba tuombee matokeo angalau yabaki hivihivi watarudi na hasira hao.....
 
Kama matokeo yataisha hivi hivi sina budi ndugu yangu Makoye Matale nikupe pole in advance. Mwaka jana mliponea kwenye vizibo ambavyo mlikuwa mnaokota bar, sasa mwaka huu washabiki wa wekundu wa msimbazi wanafungua na kuvifanyia kazi wenyewe.

Cheki tunavyochanja mbunga kwenye kufungua vizibo.

 
Last edited by a moderator:
Maximo anazidi kushusha kiwango cha Yanga,wale makocha waholanzi ndio waliweza tengeneza timu nzuri
 
nikiona hayo marangi yanaadhibiwa napata faraja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…