Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Simba inavyokuja Mechi na Yanga ubovu wote unaisha.
 
Ni kama Arsenal kuifunga Manu, hata Manu iwe mbovu kivipi na Arsenal iwe kali kivipi, kichapo kipo pale pale kwa Arsenal ndani na nje. Yanga ndo Arsenal.

Taratibu ndugu, huu mfano wako hau.apply hapa. Tusiharibiane mood!
 
Upumbavu tu.

Yalaaaaa....kama uko uwanjani nenda jukwaa kuu kwa Jamal kadai pesa yakooo...

Manake kama ni mkoko basi waanika mauaaaa.....ndo kwanza tunaanzaa....
 
Mbona sioni wana yanga humu
Mmesepa!!!!! Njooni bhana hayo magori tunawatania tu!!!! teh
 
Huyu Maximo inabidi apigwe kura ya kutokua na Imani nae.
 
Maximo lazima arudi kwao,anatuletea akina Emmerson na Coutinho kumbe wauza matikiti tu kule Brazil! Mpeni timu Minziro au Mkwasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…