Nani mshamba kati ya huyu bwana na mwanadada

Ushamba wa nini Mkuu? Fafanua
 
Hahaaa kwa raha zao...!mapenz hayanaga mwenyewe mwanzo mwisho
 
Mshamba ni wewe unaeshangaa wenzio wanakula raha zao
 
Nimekuelewa mkuu, siku hizi kuna maradhi, ndio maana jamaa kakwepa
 
Sikuelewa kichwa cha habari ndiyo maana nikaomba ufafanuzi Mkuu.

Mkuu, niliona kama wanakwepana nikadhani huo ushamba, ila nimekubali wanafanya yao...hahahaha
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…