UDA ndio kampuni ya usafiri ambayo imepewa kipaumbele na serikali mfano Kburi? cha kutesa abiria na kufanya yapendavyo bila kufuata root kukatisha root kwenda kokote yapendako na kufanya huduma pekee ya mnazi mmoja feri root ambayo ni fupi kwa gharama ya 400 ... Nani mmiliki na nani yuko nyuma ya pazia ... Chini ya kapeti kuna nini kuhusu UDA ?

Kisenya ni front man, kampuni si yake. Kamata IDD Simba afunguliwe mashitaka kwa matumizi mabaya ya ofisi.
Mnaoiongelea UDA kuna mambo mengi hamyafamamu. Uda iliuzwa pamoja na mali zake zingie kama majengo na maeneo. Kwa sasa maeneo hayo yanatumiwa na mtoto wa mshua kama bandari kavu na pia kampuni ya mtoto wa mshua ya malori inatumia maeneo hayo kama yard. Kwa sasa wanatengeneza mikakati ya kuhakikisha wao wanakuwa na share kubwa zaidi Dart. Japo naamini kwa hali ilivyo Dar kwa sasa kisiasa na nguvu ya magufuli mambo mengi yatakuwa wazi.
Ni kweli kabisa Robert Kisena sio mmiliki ana share tu sema kuna wakubwa wengi wapo nyuma yake . Mtoto wa mshua wa zamani amejiingiza kila mahali sijui hizo ela atazikwa nazo au vip. Na watu wasiojua wakiambiwa wanaona kama anasingiziwa vile ila ndio ivyo. Na magari ya uda yanapita bandarini bila hata kodi yan ni wizi juu ya wizi.