Wachaga bauanaMzee Mremi
Mzee Mremi anapatika Kinondoni.Dar express inachafuliwa kuna wapuuzi pale kwenye ofisi ya zamani ya dar express ubungo kabla haijahamia shekilango wana chafua jina la Dar express.
Nani mmiliki wa kampuni hii?
hivi ile booking office yao pale studio bado ipo mkuu?Mremi wa kinondoni studio
MimiDar express inachafuliwa kuna wapuuzi pale kwenye ofisi ya zamani ya dar express ubungo kabla haijahamia shekilango wana chafua jina la Dar express.
Nani mmiliki wa kampuni hii?