The wailer
Member
- Apr 18, 2013
- 12
- 1
Namba kumi (10) ipi kali kati ya hizi messi,romario,ronadinho,rivaldo,maradona.
Namba kumi (10) ipi kali kati ya hizi messi,romario,ronadinho,rivaldo,maradona.
1.Ni kosa kubwa kum compare mchezaji yoyote na Maradona, he is the football God
2. Namba 10, ni namba ya jezi au position uwanjani?
Unatafuta ugomvi na Gang Chomba, yaani unamuignore Dinho?
Hahahahaaaa, Dinho tu? Pele mwenyewe hafui dafu kwa Maradona
Amewahi kubeba champions League?