Nani mkali kwenye Wanaume Gere

Nani mkali kwenye Wanaume Gere

mnyama mkal

Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
36
Reaction score
13
Eti katika nyimbo ya Weusi Gere nani kawafunika wenzake kat ya Joh, Nick wa Pili na G Nako?
 
Weusi washukuru sana kutokea Arusha,,zaidi ya hapo uwa sioni cha kustua.
 
nik katisha...cku izi mademu kibao hatupigi puriiiiiii
 
Weusi washukuru sana kutokea Arusha,,zaidi ya hapo uwa sioni cha kustua.

Jamaa hawawezi mziki angalau yule teja Lord lofa sijui alikua ana style flan ya kipekee kkn hao wengine ni kama wanasoma magazeti tuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom