Kwa sasa Kevin Hart yupo juu zaidi ya hao wote....nyakati za kina martin Lawrence zimepita sana.....Chris Tuker anajitutumua kidogo....niliona alivyohost BET awards last year na alijitahidi sana
Wadau especially wapenzi wa stand up comedies pamoja na Black Americans comedy movies; nani mkali kati ya hawa manguli wa kutuvunja mbavu kwa vicheko ;
Eddie Murphy
Martin Laurence
Chris Turker
Chris Rock
Kevin Hart
Kwa kweli napata wakati mgumu sana kumuona nani mkali zaidi ya mwenzake ila nafikiri kwa mwaka jana na mwaka huu tulioanza Kevin Hart anafanya vizuri sana ukianzia "Think like a Man, let me explain, "Ride along" na anayotegemea kuitoa Valentine's day "last night" natabiri atafanya vizuri sana mwaka huu and may be nae anaanza tengeneza legacy ka walioyonayo wakina Eddie Murphy na Martin Laurence
Kevin Hart ni mzuri lakini usimuweke kundi moja na hao wengine kwani ndio kwaanza anaanza. Kwa maoni yangu Martin Lawrence yuko more versatile, anaweza stand up comedy, anaweza kucheza movie za comedy na pia ni mzuri kwenye sitcom (kumbuka kipindi chake cha cha Martin).
Eddie Murphy ni legendary wa stand up comedy hilo halina ubishi. Pia ni mzuri kwa upande wa movie za comedy. Chris Rock pia ni legendary wa stand up comedy lakini hajafanya vizuri sana upande wa movies. Chris Tucker namkubali upande wa movies zaidi kwenye stand up hajani-impress sana.
Vipi "let me explain" ya Kevin Hart
Kwa sasa Kevin Hart yupo juu zaidi ya hao wote....nyakati za kina martin Lawrence zimepita sana.....Chris Tuker anajitutumua kidogo....niliona alivyohost BET awards last year na alijitahidi sana
ungeongezea na kina dave chappele,eddie griffin ariel spearsWadau especially wapenzi wa stand up comedies pamoja na Black Americans comedy movies; nani mkali kati ya hawa manguli wa kutuvunja mbavu kwa vicheko ;
Eddie Murphy
Martin Laurence
Chris Turker
Chris Rock
Kevin Hart
Kwa kweli napata wakati mgumu sana kumuona nani mkali zaidi ya mwenzake ila nafikiri kwa mwaka jana na mwaka huu tulioanza Kevin Hart anafanya vizuri sana ukianzia "Think like a Man, let me explain, "Ride along" na anayotegemea kuitoa Valentine's day "last night" natabiri atafanya vizuri sana mwaka huu and may be nae anaanza tengeneza legacy ka walioyonayo wakina Eddie Murphy na Martin Laurence
honest speaking..nampenda sana chris tucker..bt bet awards performance was below my expectation...
ni kweli.....nyakati za kina Tucker zimepita.....nilitazama BET Hip Hop awards na Snoop did way better than Chris Tucker
hiki kipande kilinifurahisha sana hart alipokuwa anatania uncleni kweli.....nyakati za kina Tucker zimepita.....nilitazama BET Hip Hop awards na Snoop did way better than Chris Tucker

eddie quotes-