duuh! Mahaba yakizidi bana .....
Sa mkuu kweli unalinganisha level nyingine na level nyingine, niaje banaha ha ha ha.... tueleweshane tu mkuu, hakuna sababu ya kutukanana...
Sa mkuu kweli unalinganisha level nyingine na level nyingine, niaje bana
Huo mfano wake sawa na kusema eti samata na mess wa Barcelona nan zaid ya mwenzake nijibu rahis mtoto wa chekechea anajibu hilo
Level nyingine kiaje mkuu kwani Chris haimbi RnB?
Ni swala ambalo haliwezekan maana mess ni mchezaj mwenye kiwango cha juu sana hata ukitoa hayo mataj bdo yupo juu,sasa diamond atampitaje brown kama mtoto ndo kwanza anatambaa
kwani Diamond anaimba RnB?
Unashida ya coment kijana kwahiyo diamond anaim a r&b?Level nyingine kiaje mkuu kwani Chris haimbi RnB?
Mkuu hebu tafuta m2 wa kumlinganisha na Brown aseeeeWadau wajukwaa hili,
Recently tumeona jinsi kijana wetu Diamond anavyofanya vizuri kwenye music, hapa nyumbani na hata kimataifa.
Hebu tuseme ukweli bila Chuki...
Diamond Platinum na Chris Brown nani mkali au yuko vizuri kwenye maswala yote yakuimba na kucheza?
Unashida ya coment kijana kwahiyo diamond anaim a r&b?