kauzu zaidi ya dagaa
Member
- Mar 2, 2013
- 37
- 5
1:Anaye weka majani ya chai kwenye sprite ili iwe cocacola. 2:Anaye fikiri mzungu ana kivuli cheupe. 3:Aliye mkimbia simba porini wakati alikuwa anaenda kujinyonga. 4:Aliye jifanya kaokoka sana mpaka ugali anasongea msalaba. 5:Aliyetoa mimba wakati usiku analala na mdoli. 6:Aliye enda kuulizia mkaa supermarket. 7:Aliyeenda kuvua samaki swimmngpool. 8:Aliyesimamisha gari la abiria kuulizia muda. 9:Aliyechunguza tundu linalovuja kwenye barafu. 10:Aliyekunywa sumu kwa kutaka kupewa maziwa.