NDOA Bana.....
Kwenye zizi la ngombe, mke akawa anashangaa dume linavyopanda jike. Akamuuliza dk wa mifugo,
MKE: "Hivi hili dume hupanda mara ngapi kwa siku? "
DOKTA:" kwa wastani mara sita kwa siku
Mke akamgeukia mumewe, "unaona! ...."
Mume akajifanya hajasikia lolote.... Kisha akamgeukia Dk wa mifugo na kumuuliza,
MUME: Hivi hizo mara sita kwa siku huyu dume huwa analipanda jike hilo hilo?
DOKTA:Hapana, huwa anapanda majike tofauti
"Mume akamgeukia mkewe huku akitabasamu,
"Unaona! ...."