Mkuu, kwa tz haiwezekani nakubaliana na wewe,lkn je mahakama ya kimataifa haitowezekana na wakati tayari mambo yapo njiani?Muhusika mkuu Mkapa na hamna chochote kitakachofanyika chini ya serikali ya CCM. Zambia wameshindwa kumfunga Chiluba huko na wao wana historia ya kutotaka upuuzi, itakuwa Tanzania?
Kwa amri ya Mkapa,na jeshi la Muungano na Polisi wa MuunganoAcheni kujidai kipumbavupumbavu ninyi!
Wahusika wa mauaji ni ninyi wenyewe wazanzibari
Mkuu, Nani? Mahita?Mhusika mkuu ni Polisi aliyefyatua risasi zikawaua watu. Wamtafute huyo.
Mkuu, Nani? Mahita?
Nimekupata mkuu,lkn wakati kulikuwa na tetesi kuwa Mahita mwenyewe alikuwa akimwaga risasi,wakati akiwa na Chopa yake angani..Sijasema Mahita. Nimesema mhusika mkuu ni yule Polisi aliyefyatua risasi. (Rejea kesi ya Zombe. Aliyeua ni yule aliyefyatua risasi. huyo ndiye wa kutafuta.)
Ali nabwa ktk makala zake,Moja alikuwa akisema Ipo siku itakuwa kweliIko siku ukweli utadhihiri na haki itasimama
Mhusika mkuu ni Polisi aliyefyatua risasi zikawaua watu. Wamtafute huyo.