Nani mchezaji mzuri kuliko wote simba? na nani bora kuliko wote yanga, toa maoni yako

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,526
Habari wadau..

Katika simba nani mkali kuliko wote kwa kikosi cha mwaka huu

Na yanga ni nani.

Upande wangu simba wananichanganya maana mpira mkubwa nawaona wengi sana sijui nani bora kuliko wenzake nikiambiwa nimchagua mmoja best of the best.. kati ya chama, luis miquissone, kagere, sijui nani anawazidi wenzake..

Kwa upande wa yanga.. namchagua muhuni morrison tu...pamoja na ukorofi wake wote ila ki kiwango hana mpinzani yanga ndio maana viongozi wanamkomalia pamoja na uhuni wake wote

Toa maoni yako
 
Simba Ni jeshi liliokamilika asilimia kubwa wako vizuri, hata Ndemla hakuna kiungo wa kumfananisha huko......

Kwa Tanzania hapa, Simba iko vizuri!
 
Back
Top Bottom