Nani mbabe hapa

Ngoja tusubili mashauliano...........
 
suala la katiba halikuwa kwenye ilani ya chama.

suala la katiba ni ILANI,linapaswa kuwa na muda wake na maandalizi yake hasa kipindi cha uchaguzi.

nani katuweka hapa????,nani katufikisha hapa???,nani awajibike hapa????,nani awajibishwe hapa???

inaniuma sana,kwani mwisho wake nchi inaeenda kumeguka vipande vipande.

Who is our Borris Yelstin????
 
wote wapole tu... sijaona mkali!



 
Wote vilaza tu, hakuna mbabe hapo!! Huoni jasho linavyowatoka....!!
 
mwenye taarifa kamili juu ya kilichojiri leo mtupe taarifa tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…