Nani malaya kati ya mwanamke na mwanaume

Nani malaya kati ya mwanamke na mwanaume

Kwa tafsiri ya kikamusi:Malaya ni mtu yeyote mwanaume au mwanamke anayefanya mapenzi kwa kuyanunua au kuyauza.source Mackie hassan wa baraza la kiswahili.

Mwanamke akiwa na wanaume wengi nijuavyo mm huitwa Malaya,na mwanaume anaekuwa na wanawake wengi nje ya ndoa huitwa mhuni.
 
Mwanamke akiwa na wanaume wengi nijuavyo mm huitwa Malaya,na mwanaume anaekuwa na wanawake wengi nje ya ndoa huitwa mhuni.
umalaya ni biashara ya mapenzi bila kujali imefanywa na ke au me.mhuni ni yeyote afanyae matendo yasiyokubalika kijamii.mwanamke mwenye wanaume wengi huitwa kahaba.
 
Back
Top Bottom