1.Serikali ya jamhuri ya muungano tunadaiwa deni kubwa.
2.pesa za deni hilo zilitumika bara na visiwani
3.kwa sasa serikaali ya muungano ndio wanalipa.
4.je nani atalipa deni la sasa kwa mapendekezo ya serikali tatu????
IKUMBUKWE.
(i)Warioba kasema serikali ya muungano haitakopa,kwa maana nyingine haitakuwa/haipaswi kuwa na deni.
(ii)baadhi ya mambo yaliyogharamiwa na serikali ya jamhuri ya muungano HAYATAMBULIWI NA RASIMU YA KATIBA MPYA.hapa itakuwa ngumu serikali ya muungano kurithi deni la mambo yasiyotambulika ktk serikali ya muungano.
(iii)TANGANYIKA JE?Zanzibar je?watarithi vipi deni hili?HATA HAPA KUNA UTATA.

kila kitu wataridhi cdm, relax!
Kwa kuwa kutakuwa na serikali mbili ambazo zilikuwa ndani ya serikali moja basi hili deni hatuna budi kuligawana Pari pasu! Patamu hapo mkuu manake Wazenji watataka kuruka kimanga lakini hiyo kamba wanayo shingoni!
1.Serikali ya jamhuri ya muungano tunadaiwa deni kubwa.
2.pesa za deni hilo zilitumika bara na visiwani
3.kwa sasa serikaali ya muungano ndio wanalipa.
4.je nani atalipa deni la sasa kwa mapendekezo ya serikali tatu????
IKUMBUKWE.
(i)Warioba kasema serikali ya muungano haitakopa,kwa maana nyingine haitakuwa/haipaswi kuwa na deni.
(ii)baadhi ya mambo yaliyogharamiwa na serikali ya jamhuri ya muungano HAYATAMBULIWI NA RASIMU YA KATIBA MPYA.hapa itakuwa ngumu serikali ya muungano kurithi deni la mambo yasiyotambulika ktk serikali ya muungano.
(iii)TANGANYIKA JE?Zanzibar je?watarithi vipi deni hili?HATA HAPA KUNA
wataolipa wanajijua iyo haina mjadala. ni wale wale vinganganizi vya muungano walioambiwa na mtume wao muungano ukifa na wao watakufa
Ha ha ha!Makaburi ya akina nyerere na karume inabidi twende na bakora tukayapige mpaka vumi litimuke kwa sababu ndo waliotungiza kwenye matatizo haya.
Wamefanya akili za watawala zishindwe kufanya kazi mpaka wanashindwa kutoa maamuzi sahihi. Eti mambo saba yaundiwe serikali! Huu si ujinga tena bali ni upumbavu!
kiswahili pia ni kigumu.
SIJAELEWA.
Hakuna cha pasu pasu Mimi naona mali zote za magamba zipigwe mnada na deni lilipwe maana wao ndio walikopa badala ya kuleta miradi ya maendeleo ambayo ingeingiza kipato cha kulipia deni walianzisha miradi ya ccm, kutumia pesa kupigia kampeni na zingine kuficha uswiss, CCM must be held responsible for this! wao ndio wametawala kwa miaka yote watueleze walikopa kufanyia nn??Kwa kuwa kutakuwa na serikali mbili ambazo zilikuwa ndani ya serikali moja basi hili deni hatuna budi kuligawana Pari pasu! Patamu hapo mkuu manake Wazenji watataka kuruka kimanga lakini hiyo kamba wanayo shingoni!
Mkuu una roho mbaya kama mbeba sumu.Kwa kuwa kutakuwa na serikali mbili ambazo zilikuwa ndani ya serikali moja basi hili deni hatuna budi kuligawana Pari pasu! Patamu hapo mkuu manake Wazenji watataka kuruka kimanga lakini hiyo kamba wanayo shingoni!