Kwa upande wangu nampa nafasi kubwa Raphael Benitez, sababu mmoja ya makocha wazuri ambao hawana timu kwa sasa na inakuwa ni virahisi sana kumpata., tofauti na makocha wengine wanaopigiwa chapuo ka Mourinho na Guardiola. GUARDIOLA goal.com poll

Benitez ni kocha mzuri kilichom cost alipokuwa Liverpool wale matajiri walikuwa wagumu sana kutoa fedha za usajiri, nadhani akienda Chelsea anaweza akaibadilisha
check avater hiyo di mateo katika press after kukipga FA amekiri morinho bado anaushawishi kwa baadh ya wachezaji na washabiki wa chelsea jana all the time walikuwa wakimwimba morinyoooo.i think m a special one