Nani kawahonga Mwakyembe, Masaju?

Nani kawahonga Mwakyembe, Masaju?

Tehe tehe...nilitaka kumuuliza hilo swali. Hii inathibitisha JF siku hizi imejaza ****** tu. Hajui hata maana ya "Pumbaless".....daaaaah.
Akili ya mjinga ikikosa kazi inawaza ata ikamtuma kumuambia mzazi wake mbona Jana nlikua nasikia sauti kama wewe ukilia chumbani kwako mbele ya watu! Ndiyo mtu kama wewe
 
Umeandika mambo mengi weeee! Kumbe pumbaless namna hii kuhoji hela za rukuku ndani ya chama chako ndipo utaona na kujua maana ya "Dikteta" ndipo uje hapa tujadili udikteta wa mbowe na MAGUFULI anayetetea maslahi ya wanyonge
Nadhani maandiko hayo kwa jinsi yalivyo yameandikwana mtu aitwaye Nyaronyo Mwita Kicheere, mwanachama kindakindaki wa CHADEMA aliyethubutu kugombea Ubunge Tarime mwaka uleee akaangukia pua na mwaka jana akajaribu huko Kigamboni pia akaangukia uso.
 
Umeandika mambo mengi weeee! Kumbe pumbaless namna hii kuhoji hela za rukuku ndani ya chama chako ndipo utaona na kujua maana ya "Dikteta" ndipo uje hapa tujadili udikteta wa mbowe na MAGUFULI anayetetea maslahi ya wanyonge
YAANI WW UNGEJUA MAANA YA PUMBALESS JAPO SI NENO RASIMI USINGEANDIKA MAANA INAONYESHA UMESAPOTI ALICHOPOST JAMAA KWAMBA NI POINT KABISA JIFUNZE KABLA YA KUJIFANYA MJUAJI
 
Akili ya mjinga ikikosa kazi inawaza ata ikamtuma kumuambia mzazi wake mbona Jana nlikua nasikia sauti kama wewe ukilia chumbani kwako mbele ya watu! Ndiyo mtu kama wewe
Pole sana Auntie Kaoge. Maana tokea vilainishi vipigwe marufuku umewehuka.
 
Umeandika mambo mengi weeee! Kumbe pumbaless namna hii kuhoji hela za rukuku ndani ya chama chako ndipo utaona na kujua maana ya "Dikteta" ndipo uje hapa tujadili udikteta wa mbowe na MAGUFULI anayetetea maslahi ya wanyonge
Rukuku ndio mdudu gani?
 
Umeandika mambo mengi weeee! Kumbe pumbaless namna hii kuhoji hela za rukuku ndani ya chama chako ndipo utaona na kujua maana ya "Dikteta" ndipo uje hapa tujadili udikteta wa mbowe na MAGUFULI anayetetea maslahi ya wanyonge

Naona amekuchoma penyewe,pole.Kwanywe Panadol kupunguza maumivu
 
Samahani lakini Tetty naomba nikushauri kama bado haujaolewa mtafute mchumba ata humu JF uolewe inaonekana una mapenz ya dhati kweli kweli!! Kama tiyari naomba umridhishe huyo mbaba wa watu
 
Naomba nikuoe wewe au unasemaje?Kule kwetu tunaoa wanaume
 
Ngojea nikutafutie wa kukuoa maana una mahaba mazito sanaaa!!! Ngojea tukutafutie mtu wa kukutuliza na kukupagawisha

Nimekwambia hivi NAOMBA NIKUOE wewe mahari nishatayarisha ni wewe kusema tu lini wazazi wako watakuwa tayari kupokea posa
 
Huo ni udhalalalishaji tangu lini mwanamke akamuoa mwanaume sisi kabila letu ukifanya hivo wee unatengwa kabisaa na familia yako!
 
Kunatofauti Kati ya udikteta na ujinga.

Nafikiri tatizo kuu ni ujinga.
 
Back
Top Bottom