Nani kasema mapenzi sio pesa...?

Nani kasema mapenzi sio pesa...?

D 007

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
206
Reaction score
147
Nani kasema mapenzi sio pesa...????
Tutakuwa tunandanganyana tu t
ukisema its not all about benjamin?????
love card.jpg
 
mapenz ni pesa,mana kila ki2 siku hz ni pesa,mtapendana afu mtakaa wap?mtakula nn?mtatibiwa nn.nk.vyote hvyo ni pesa mkuu.
 
PESA NDO KILA KITU! All the love in the world cant put food on the table!
 
Nani kasema mapenzi sio pesa...????
Tutakuwa tunandanganyana tu t
ukisema its not all about benjamin?????
View attachment 83801

Sasa ndio umeanzisha mada gani hapa? Nyie mliojiunga kuanzia mwaka 2012 mnatusumbua sana hapa ndani. Kama huna cha kuandika, nyamaza kimya. Tulia kabisa. Soma michango ya mwanakijiji.
 
Ndugu, mi nadhani kuna aina nyingi.
1. Mapenzi kama tendo la ngono (ambayo yananunulika -ukiwa na fedha waweza kununua yeyote mwenye price tag)
2. Mapenzi kama uhusiano binafsi kati ya mtu na mtu - kwa point yako ntarejea mtu mume na mtu mke (hayanunuliki - mara nyingi hakuna jibu rasmi kwa nini unampenda na kumjali sana mwenzio).
3. Mapenzi kama Unafiki (hali inayoonesha kwa umma wa nje kuwa kuna uhusiano dhabiti lakini kiukweli hamna kitu zaidi ya kuchuma hela, au kutafuta kujifunika na mwavuli wa status/umaarufu wa mtu. n.k n.k

NB: katika hayo ya pili, pesa yaweza kuwa chagizo lakini haiwezi kuwa ndio njia. kwa hio fedha haichukui sifa ya kuwa main actor.
 
Njiwa mbona hajui pesa ila mapenzi anayajua?
 
Mkuu fedha kama njia ya facilitaion ni sawa ila sio kama drive force inayowaleta pamoja. upendo ukishakuwa na angle of interest lazima kuna kaunafiki ndani yake. Mapenzi ya kweli yanatokea na hayanunuliki. Ila mapenzi kama tendo la ngono na upendo wa kinafiki, yananunulika.

mapenz ni pesa,mana kila ki2 siku hz ni pesa,mtapendana afu mtakaa wap?mtakula nn?mtatibiwa nn.nk.vyote hvyo ni pesa mkuu.
 
Mkuu fedha kama njia ya facilitaion ni sawa ila sio kama drive force inayowaleta pamoja. upendo ukishakuwa na angle of interest lazima kuna kaunafiki ndani yake. Mapenzi ya kweli yanatokea na hayanunuliki. Ila mapenzi kama tendo la ngono na upendo wa kinafiki, yananunulika.

And VICEVERSA is Force! Hata muwe mnapendana aje na demu siku mkwanja ukikata anatokaje Marathon! Utabaki kuliona vumbi tu!
 
Sasa ndio umeanzisha mada gani hapa? Nyie mliojiunga kuanzia mwaka 2012 mnatusumbua sana hapa ndani. Kama huna cha kuandika, nyamaza kimya. Tulia kabisa. Soma michango ya mwanakijiji.

Just because you are doing something different, it doesnt mean that you are doing anything wrong.
???????????
?
 
Ndugu, mi nadhani kuna aina nyingi.
1. Mapenzi kama tendo la ngono (ambayo yananunulika -ukiwa na fedha waweza kununua yeyote mwenye price tag)
2. Mapenzi kama uhusiano binafsi kati ya mtu na mtu - kwa point yako ntarejea mtu mume na mtu mke (hayanunuliki - mara nyingi hakuna jibu rasmi kwa nini unampenda na kumjali sana mwenzio).
3. Mapenzi kama Unafiki (hali inayoonesha kwa umma wa nje kuwa kuna uhusiano dhabiti lakini kiukweli hamna kitu zaidi ya kuchuma hela, au kutafuta kujifunika na mwavuli wa status/umaarufu wa mtu. n.k n.k

NB: katika hayo ya pili, pesa yaweza kuwa chagizo lakini haiwezi kuwa ndio njia. kwa hio fedha haichukui sifa ya kuwa main actor.

Sawa mkuu ... lakini pesa ndo inabeba vyote hivyo ...tel mi uhusiano gani ulianzisha bila pesa hata kama sio direct wil be indirect i.e movies , outing , clubin etc...
 
And VICEVERSA is Force! Hata muwe mnapendana aje na demu siku mkwanja ukikata anatokaje Marathon! Utabaki kuliona vumbi tu!

Hata asipokimbia you will feel something different..
 
Nikubaliane nawe kama hio ndio ilikuwa nguzo yenu. ila kama upendo ndio nguzo yenu pesa zikija na kuondoka/kupungua naamini haziathiri upendo ulio kati yenu.

Kwa hiyo lara 1 wataka kuniambia upendo wa kweli haupo? au bila hela hakuna mapenzi ya kweli?

Kama ni kweli ningetegemea wenye hela ndio wangekuwa wanafurahia sana ndoa zao au mahusiano yao, instead wenye hela walio wengi ndio wanaongoza kwa list ndefu ya vimada/mahawara.

We subiri ufilisike ndo utajua ukweli wa hili jambo!
 
Mkuu ninachopinga ni imani kuwa bila hela hakuna mapenzi ya kweli. Outing, movies etc ni chagizo tu mkuu lakini sio determinant factor.

Wewe hujawahi kuona mdada au mkaka mwenye hela sana amependa kupitiliza mtu asiye na nyuma wala mbele? au mwingine hana kitu lakini amemtokea mwenye nazo na wanaishi kwa furaha na amani?

Wakati mwingi tunakuwa vile tunavyofikiri.

Sawa mkuu ... lakini pesa ndo inabeba vyote hivyo ...tel mi uhusiano gani ulianzisha bila pesa hata kama sio direct wil be indirect i.e movies , outing , clubin etc...
 
Sasa ndio umeanzisha mada gani hapa? Nyie mliojiunga kuanzia mwaka 2012 mnatusumbua sana hapa ndani. Kama huna cha kuandika, nyamaza kimya. Tulia kabisa. Soma michango ya mwanakijiji.

Mbona unajiona wewe ndo wewe, kwani mtu aliojiunga 2012 anaahusiana vipi na mada.
Eti "
Kama huna cha kuandika, nyamaza kimya. Tulia kabisa. Soma michango ya mwanakijiji.[/SIZE]
"
Hebu nikuulize swali, hivi ni lazima mtu kusoma michango ya mwanakijiji?
Kama umeona amekubore unaweza kutoka taratibu ili wenzako wachangie.
 
Ok dear, I agree to disagree.

Nimejifunza na naendelea kujenga imani chanya, so naamini nikiweka juhudi katika kazi zangu, kutumia nafasi/fursa ninazozipata kwa uangalifu na kujitoa kwa Mungu na kwa wahitaji kwa kadiri itavyowezekana, kuna uwezekano mkubwa sana sitafilisika bali kuna wakati naweza pungukiwa kidogo cash ila sio rasilimali (watu na assets). Naamini hivyo na Mungu unisaidie.

''As a man thinketh, so he is. if not yet, so he will become''.
We subiri ufilisike ndo utajua ukweli wa hili jambo!
 
Mkuu ninachopinga ni imani kuwa bila hela hakuna mapenzi ya kweli. Outing, movies etc ni chagizo tu mkuu lakini sio determinant factor.

Wewe hujawahi kuona mdada au mkaka mwenye hela sana amependa kupitiliza mtu asiye na nyuma wala mbele? au mwingine hana kitu lakini amemtokea mwenye nazo na wanaishi kwa furaha na amani?

Wakati mwingi tunakuwa vile tunavyofikiri.

It was mkuu nowdays ni DRAMA tu labda under 16 ...
 
haaaa chezea pesa wewe kudadadeki pesa ndo kila ki2 katika love wewe
 
Back
Top Bottom