Nani kamponza sioi sumari...!

Ameponzwa na pamela. Nani anataka kumuona lowasa ktk kizazi hiki? We mtu anajitengenezea kampuni hewa na rafiki zake kikwete na rostam na kuchota mil 52 kila siku na sasa wanasubiri tu ile ya dowans alafu watz wamsikilize?
Watz wa sasa wanajua kila kitu kuhusu ccm lowasa kikwete na rostam.
 
Wananchi wameichoka CCM!!Hata CDM wangesimamisha jiwe,hakika lingeshinda!!!!
 
Taifa Stars haiwezi kumlaum kocha kwa kutoifunga Brazil
 
"CCM ndiyo ilyomponza, naamini angegombea kupitia Chadema angeshinda, CCM haitakiwi, na yeyote akiwa upande wa CCM lazima akataliwe, hakuna haja ya kutafuta mchawi. CCM ni Janga la Kitaifa(JK)"

Umenena mkuu, tatizo sio Sioi, tatizo ni chama kimekosa dira baada ya kushindwa kutatua kero za Watz
 
Nadhani ki ukweli Sioi hakutakiwa kuingia kwenye siasa kwa sasa kwani machozi ya baba yake kufariki yalikuw abado hayajaisha kabisa. Mfano mtu akifiwa na mfano mke unakaa japo miaka miwili ndiyo unaruhusiwa kuoa, lakini CCM walivyo wajinga na yeye dogo kaanza mchakato wa ubunge hata siku 100 hazijaisha! Hii ni laana maana wengine wanaweza associate na furaha yake kwa kifo cha mzee. Au mfano angeshinda je angeshangilia? Nadhani angejipanga kwa 2015 nadhani ilikuwa nzuri zaidi.
 
Acheni kujiumiza kichwa kashindwa fair and square; kama wengine wanavyoshindwa

CCM kumbukeni kuna kushindwa, kama hamjui Mwulizeni LAU MASHA
 

sioi alaumu washirikina waliokuwa kwenye timu yake ya kampeni + vichaa waliokuwa kwenye timu yake ya kampeni + mabondia waliokuwa kwenye kampeni zake + wanamuziki nje ngozi ya kondoo ndani mbwamwitu wakali waliokuwa kwenye kampeni zake + nguvu za giza zilizokuwa zinatawala timu yake...ooooooh maskini sioiiiiiii
 
Angeshinda vipi wakati anasema Arumeru ni mkoa?
 

nadhani kabla watu hawajamlaumu huyo hapo juu, wangeanza na mkapa kwanza.
huyu ali-set tone ya kampeni tangu day 1. ile kashfa dhidi ya vincent, hata kama ingelikuwa ni ya kweli, isingetolewa na mtu wa wadhifa, and most importantly umri, wa mtu kama yeye.
what an ugly precedence that was!

and then, what do you expect kids like livingstone would do?? behave like saints? no chance....the only logical thing for the kid was to do the "ben" kwa wameru!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…