Aibuu . Raisi aisyejua maana ya HIV na jinsi inavyoambukizwa ..Hopeless
kama slaa anavyoanguka bafuni kwa kupiga puchu
Washauli wake ndo nawalaumu kwa Nguvu zoote!!!
So Perfect ( Mr, Mrs or Miss) naomba uelewe mada yangu, swala si U-slaa wala u-JK, nimeleta mada hii kwa kufuata cheo cha mtu na niliomba tangu mwanzoni tusichanganye na maswala ya kisiasa, najua huu ndo ugonjwa wetu wengi wa kufanya kila kitu ni siasa, hivi unadhani kwamba, wenzetu wenye viongozi "kamili" wanatuchukuliaje tunapotoa matamshi kama yale?? Only that, na sio swala la wagombea urais. Soma mwanzoni kama mwa thread hii, niliomba tusichanganye jambo hili na siasa.
Hope umenielewa, asante kwa kunielewa
Washauli wake ndo nawalaumu kwa Nguvu zoote!!!
Nimeipenda hiii jamani.Kama yeye alivyo jitakia?
Na yeye anavyoangukaanguka amejitakia au ni ugonjwa?
jamani, tuacheni siasa, kwani haya matamshi ya kiranja mkuu kila siku kuhusu huu ugonjwa mi siyapendi hata kidogo
Gonga hapa usome kisha mfowadie kiranja mkuu
http://www.beholders.org/spirit/inspirationalpeople/110-nkosijohson.html