Nani kama Sugu?

Kama ulikuwa hujawahi kumuona shetani basi kwa mwanamke huyu utaona kabisa shetani akijidhihirisha kwa matendo ya kuangamiza kupitia huyu dada ha ha ha

Utadhani nsyuka sijui kinajionaje kile kidada?
 
Sisi wanaume ni washenzi
wanakuita malaya sababu unatoa penzi
vipi dada zao nyumbani
wanawaita majina gani?

aisee umetisha sana nilikua nataka sana kuikumbuka hiyo mistari...kuna dada mmoja kipindi hicho alikua jirani na kwetu alidedi kwa lile gonjwa...dingi tuliyekua tunahisi ndiye aliemuua alikua akipita na gari yake kijiweni tunaanza kuimba hiyo chorus..
 

Sidhan kama kuna tamasha Nimewah kujaa kama lile
Besides kulikua na msanii wa mbele alikua amekuja watu tukamnawa tukaenda kwa vinega ustawi
That's shit was dop aiseeee
 
kwenye huu uzi mie kazi yangu ni kusoma na kutoa like...
Abarikiwe sana aliyeanzisha huu uzi

Mr 2 aka Sugu

"dawa ya mabishoo ni kuwa bishoo zaidi yao...."

Sugu nambari one mbele yao
Napata msg voda toka kwa madem zao!
 

Xplasters sio wa kwanza kaka Xplasters wamefanya show nyingi zaid Holland kias kwamba wanaweka hadi makazi yao
Don't take t personal but sijapenda the way ulivyomcrush jamaa
 
Hii inanikumnbusha mbali sana..!!

Enzi hizo gheto kumetapakaa magazeti ya wasanii mbalimbali kama kina 2pac Shakur, Westlife na B.I.G hapa Bongo ndo kina Sugu, Dola Soul wanasumbua balaa, Ukienda gheto na mtoto akute room lilmepambwa namna hiyo we ndo mjanja wa mjini. Mitoko ilikuwa ni Mashati ya drafti na tisheti nyeupe chini ukivalia suruali yenye mifuko pembeni usawa wa magoti almaarufu kama Timbarland yaani we utaogopwa mtaa mzima. Siku ukitoka na Visuruali flani hivi vinaitwa vinyelamumo, almaarufu kama Bigmark, pembeni unakiredio chako cha mkononi almaarufu kama Walkman, Yaani we unasumbua mji balaaa..!!

Enzi hizo kina Prof J ndo wanachipukia na Hard brothers crew yao, Sugu anasumbua Nchi na kitu chake "Anamiaka chini ya kumi na nane," kila Barbershop utakayoingia ni Sugu Sugu Sugu enzi hizo akijiita Mr II. Kina LadyJd ndo wananusanusa, pembeni hivi kina King Creiz GK wanasogea kwa mbaaaaali daaah...!!! Kweli tunatoka mbali sana.

Mr II alikuwaga na mpaka kesho anakisauti flani hivi cha ki-hip hop haswa.. Anakitetemeshi flani hivi wakati wa kutema mashairi. Yaani enzi hizo mziki ulikuwa ni hizi tunazoita leo zilipendwa na hip-hop kwa pembeni wakisindikizwa na Taarab kidogo. Na hiphop ilikua ni hiphop haswa, siyo kama leo wasanii wa hip-hop wanavisha pua zao vidani na kutoga masikio huku wakisindikizia na kusuka nywele na full make up..!!! Huu mziki ulikuwa wa wagumu kweli kweli.. Akaja jamaa mmoja hivi ambaye alishawishiwa na hawahawa kina Sugu kurudi kufanya mziki Bongo na si kung'ang'ania USA, huyu jamaa alikuwa akiitwa Cool James mtoto wa Dandu (Rip) ndiye mwasisi wa hizi tuzo za KTMA alitoa wazo la kuanzishwa kwa tuzo hizo (siyo KTMA) sijui aliziitaje. Bahati mbaya kabla hazijaanza rasmi akafa kwa Ajali.

Kipindi hicho mziki wa kunakili miziki ya wakongwe ilikuwa ikitamba haswa na style hii ndiyo iliyomtoa Mr Paul, aliimba wimbo wa Zuwena wa Mariajan Rajab. Hivi wakuu Matola, Deo Carlione na Ruttashobolwa mlikuwa wapi enzi hizo, Mnakumbuka nini?

Halafu kwa kumbukumbu zenu mnaweza kukumbuka mwanamziki wa kwanza kuanza mziki wa kuimbaimba (Siyo Kughani mashairi) almaarufu kama Bongofleva? Note, ninaposema Bongofleva R&B weka pembeni.. Tukumbushane wadau..

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Sugu kamtoa balozi
Si kweli Sugu hajamtoa Balozi uliza vizuri Balozi alikuwa Diplomatz baadaye ndio akawa mshikaji wa Sugu na hata Sugu baadaye akajiuunga na Diplomatz lakini aliendelea na Solo project.
Xplasters sio wa kwanza kaka Xplasters wamefanya show nyingi zaid Holland kias kwamba wanaweka hadi makazi yao
Don't take t personal but sijapenda the way ulivyomcrush jamaa
Nioneshe ni wapi nimesema Xplastaz ndio wa kwanza kufanya tour za ulaya? Nisome vizuri.

Na Xplastaz ndio Wabongo pekee kufanya show mpaka Brazil nadhani walikuwa na Kalamashaka kutoka KE.
 
Sidhan kama kuna tamasha Nimewah kujaa kama lile
Besides kulikua na msanii wa mbele alikua amekuja watu tukamnawa tukaenda kwa vinega ustawi
That's shit was dop aiseeee

Si kujaza tu hata Sugu hajawahi kuimba live na kwa ufasaha nyimbo zote kama unavyozisikia kwenye Cd kama siku ile, hakugusa konyagi kabisa mpaka show inaisha. Alionesha nidhamu ya juu kwamba alidhamiria.
 

Hivi unanijuwa kama wewe ni falla? Hapa anajadiliwa Sugu msanii Legendary wa Bongo fleva na siyo Baba Faiza, wewe Pimbi huna cha kujadili hapa kipindi hicho ulikuwa upo huko kwenu mashambani au unanyonya, wewe nenda You turn kwa Mange na mashangingi wenzio ndio level yako.
 
ww ndio mpuuzi rudi kwenu migombani ---- wa kichagga
nani kakwambia mtaachiwa uongozi
kazi kushinda Jolly Club kutafuta changudoa awe mke? km ulishindwa oa mlimani kwenu usinitafute
nimeshakwambia umeshinda
kunitafutia BAN NI HIARI YAKO
sijadili ya sugu wala faiza nasubiri matusi yako
 

Nimekupuuza.
 

Attachments

  • 1435417866108.jpg
    9.2 KB · Views: 292

We taahira kweli hvyo vitu vyote hata kwenye kitabu chake ameandika tena kwa kina alianzaje ulinzi alikua analipwa shngap na mpaka aliachaje
Unakuja kujua leo kisa hilo changudoa limbukeni ---- kweli ww
 

I knw Diplomatz and I knw Balozi alikua Diplomatz na wakina saido but he cudnt rose to the game bila sugu
Kuna huu ushuhuda hata kwenye kitabu chake kaandika
Pia hata nyimbo
Wananita sugu
 
I knw Diplomatz and I knw Balozi alikua Diplomatz na wakina saido but he cudnt rose to the game bila sugu
Kuna huu ushuhuda hata kwenye kitabu chake kaandika
Pia hata nyimbo
Wananita sugu

Pure recruitement ya Sugu ni Afande Sele, ila kama Balozi amekiri mwenyewe au Sugu amesema siwezi bisha maana kipindi kirefu kimepita na uzee unaanza kuninyemelea.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…