Ni Sos P au Sos B?? Naikumbuka flow yake moja iko hivi.. Ni Sos B wama B, nafanya kwa bidii, Na wala sifuatilii mambo yako, peleka kule mambo yako tofauti na wenzako.... Yuko wapi huyu mtu?
nshasahau yaweza kua upo sahihi..ila najua anaitwa sostenes ambakisye...!!
enzi hizo kitambo sana..!!mshkaji kapotea mazima
Ahahahaaaa G.W.M ndani ya nyumba na MR IIaiseeeehhhh...nyie watuuuu hadi raha ...
yamenikuta mzee mwenzangu
enzi hizo kila tamasha kubwa daimond jubileeee...
yani acha kabisaaaaa......enzi za kina fanani;niga jay b4 profesa....
matumbo umenifanya nipande juu mti nikuambie hivi asante sana
leo nimekukubali noma nomaa kwa suguuuu
mana niko mwandoya huku 3G NI SHIIDAH ila imebidi ntafute network
"wanachotaka wewee upate tabuuu"
raha kidogo chuki bila sababuuu
najua mama hilo ntalikabili
najuq jeuri dawa yake ni kiburiiii..........!!!$
TWO PROUD HOYEEEERR LONG SAANASS BONGO HIII UR ONE &ONLY LEGENDSSS....!!
SAFFFFIII@matumbo.......
mi bwana sugu,prof,balozi,inspector na wengi wa zamani nawakubali mnoo...Ukikuta mwanamke anapenda hip hop basi ujuwe up stairs yuko vizuri. Hongera kwa hilo.
wazee wa GANG STARS WITH MATATIZO acha kabisa long sana hapa natabasamu tu yaniAhahahaaaa G.W.M ndani ya nyumba na MR II
dah acha tu nilikua naujua wote hapa kila nikirecall picha inagoma nakumbuka niliuandika huo kwenye daftari langu la primary woote...E-mamsap we, nipoze moyo mama, nimechanganyikiwa penzi lako la maana. Mapenzi si ugomvi mapenzi si uhasama. Nipe penzi nikupe hapa mimi ni salama.....
Fanani anaverse yake hapo katililika mbaya!!
BACK TANGANYIKA
wazee wa GANG STARS WITH MATATIZO acha kabisa long sana hapa natabasamu tu yani
dah acha tu nilikua naujua wote hapa kila nikirecall picha inagoma nakumbuka niliuandika huo kwenye daftari langu la primary woote...
enzi hizo nipo kino clan na sisy wangu mmoja hv tom boy flani amaizing hivii...!!!
daahhh...tunashusha mistari balaaa..
Kumbe mtoto wa Kino? Unalikumbuka jisongi la Sugu ft Big dog pose kwenye korasi yupo Lady Jaydee nyimbo inaitwa muda mrefu?
Geniveros
Naomba nikutafute
nshasahau yaweza kua upo sahihi..ila najua anaitwa sostenes ambakisye...!!
enzi hizo kitambo sana..!!mshkaji kapotea mazima
jamaa (sos b) amejaribu kuwekeza...kafungua club mabibo external jina lake mwanzoni lilikua "le mambo" sasa hivi ina jina lingine nimelisahau kidogo..
Dunia ni ya ajabu sana kuacommodate wajingawajinga kama wewe.
Mumshukuru sana Nyerere wajingawajinga kama wewe saa hizi ungekuwa huko umbwindeni, wewe huna unalolijuwa katika maisha kuna watu wamezaliwa kwenye silver spoon family lakini wamefeli maisha, give a credit kwa kachaa Sugu. Na kwa taarifa yako mwenzio hapendi hata jina la muheshimiwa yeye anataka aitwe Sugu tu.
dah hongera zake mshikaji kumbe ndo maana kaquit mziki....
aiseeeehhhh...nyie watuuuu hadi raha ...
yamenikuta mzee mwenzangu
enzi hizo kila tamasha kubwa daimond jubileeee...