Bila Mange tungejuaje huyu jamaa CV yake alikuwa mlinzi wa wa BP? au O LEVEL AU FURAUNI?
chadema MNA MATATIZO thread zote tulizochangia zimefungwa basi bakini na hii yenu susu hatuchangii maana kuna sheria siku hizi zinawalinda ninyi wengine tutaumia
msitutafuti BUN km hamtaki kuingia kwa mange basi mmeshinda
"Ni wewe tu na mama hamkuniita Mr 2 bali Joseph"
Kakalambe tu, if I were a man mie mnara usingekamata network
Ana wivu mpaka shetani anamwogopa.
Afu anajiona anaogopwa dunia nzima!
Like her opinion the Law! Pathetic clown.
Hamna tofauti ya mange na makahaba wa Ambiance
....kama beberu la hitmakwa kweli hata mimi kwa kimeo hiki hata mnara usingesoma.. kakomaaa mnooo
....kama beberu la hitma
eAkumbukwe Sosikeneth Ambakisye Sos B.
Mkuu kwanza asante kwa kunikumbusha kwamba jamaa alikiwa akiishi Sweden,
Kiukweli nchi hii haithamini uasisi wa vitu mbalimbali. Hii ndiomaana mpaka leo Tanzania tunashindwa kutengeneza hata soksi. Hebu angalia wazo la Maralia lililoasisiwa na Sugu akitokea USA kipindi hicho likaporwa na kile kijamaa kishenzi cha Clouds fm na kikapata mnuso wa kutosha kwa mawazo ya Sugu. Mpaka leo hii mwenye wazo lile hajanufaika lolote iwe kwa kutambuliwa au kunufaika kipesa. Hivi mtu wa namna hii anaweza kupata moyo wa kuumiza kichwa kutoa mawazo mengine mazuri kwa nchi yake??? Nasikitika sanaq kunamijitu inamdharau Sugu hapa.. laiti wangeijua thamani ya kichwa hiki ndani ya hii nchi wangeziba mibakuri yao..!!
Nikija kwenye Mziki mkuu nadhani kunatofauti kati ya mziki wa Dola Soul, Sugu, Prof J (Hiphop) na mziki Inspector Haroun, Mandojo & Domokaya (Bongofleva) So kibongobongo nikisema Bongofleva nikiijumlisha na Hip-hop, nakua kama nakosea. Lakini nikienda nje ya nchi, Bongofleva inafahamika ni mziki wowote wa Tanzania ulioktk maudhui hayo (ukijumuisha na hiphop) Ni kama jina Bongo, kwazamani ukiwa hapa nchini ukalitamka hili, unamaanisha Dareslaam. Lakini ukiwa nje ya nchi unamaanisha Tanzania..!!!
So maana yangu ilikuwa hapo, kwani inafahamika wazi mziki wa kurap ulipoanza hapa nchini ilikuwa ni hiphop pekee. Baada ya mziki huo kukua ndipo zikaanza R&B na baadaye wakaanza hawa kina Inspector Haroun kuimbaimba. Kuimba kwa Inspector na kwa Sugu ni tofauti, So nilitaka kujua ni nani aliyeanzisha hii Style ya kina Inspector ambayo tunaona mpaka sasa ndiyo iliyoshika soko na kuwatoa kina Kiba Dimpoz, Diamond, kiasi kina Madee wakaimba Hiphop haiuzi..!!!
Wish nimeeleweka mkuu Matola. gwijimimi matumbo Deo carleone for more detail.!!
BACK TANGANYIKA
bila kuwasahau 'gwm - gangstaz with matatizo' walimrudisha sugu kwenye airwaves ile mbaya na ile ngoma yao ya 'yamenikuta'....wapi 'D-chief' na "KR"
Mkuu Idawa,
Kwenye hiyo ngoma ya J kilikuwa na jamaa mmoja hivi kachana kwenye verse ya pili after Prof J anaitwa Simple X kashuka namna hii..
Piga makofi piga makofi, kamawewe si mkorofi
kwenye fan hauna uzushi, tunataka watu wa jeshi. Tunajirusha kimanjonjo ukileta fujo unatupwa selo. Situka uendako, utakuwa mwaminifu, usije ukapata kichapo. Hii ni fani usilete utani, Old School imelala kichwani. Nawasabahi Kimala maskani na wote waliokuwa mtoni. Ni saa za kazi we panda Jahazi. kama msanii milango iko wazi. HBC walifunga kazi, J sasa kamwaga radhiiii. Kwenye machozi jasho na damu single ni bongo Dareslaam. Wakubwa na watoto wameipokea kwa nidhamu.. Ni simple x mzee wa ngano hakuna noma mambo mswanooooooo..!!
Mkuu yaani hiyo ngoma imetulia we acha kabisa, maishairi yote yako kichwani. Ni moja ya wimbo ninaoukubali sana toka Pj kipaji halisi..!! Hakika jasho na Damu ni funzo tosha..!!!
BACK TANGANYIKA
matumbo
Dar DSM semaaa Dar es Salaaam X3. Hii ngoma naisikiliza tokea niko primary mpaka leo hii
Hembu gonga like kama bado unasikiliza ngoma za sugu 2015.
mstari wa 27...!! nani laamesema kama fani imelala...!!
nyingine nimesahau ila sos p nomaaa
kuna sehemu anasema
sijui nini na nini sio mchezo mzuri jama..ma