Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,431
- 108,592
Matola nimekuomba nyimbo kadhaa za huyu gwiji, but sijapata mrejesho Mkuu.
James Dandu alikuwa anaishi Sweden, siyo Marekani na yeye ndio mtoa wazo wa Tuzo za kili nashangaa mpaka leo wanashindwa hata kumuenzi na Dandu award hii nchi nyoko majitu mabinafsi sana.
Kuhusu swali lako la nani kaanza Bongo fleva hujaliweka vizuri, maana kama ni kurap kaanza Salehe el Jably na na kama ni kikundi cha kurap kilichoanza ni Kwanza Unity a.k.a KU Crew. Na kama ni Bongo Fleva kwa maana halisi ni Sugu.
Kwanza hata kubrowse hapa sasa hivi nawabore tu washkaji nilionao.
Ni muda wa ku-make bottles empty buddy. Cheers.
Hayakuwa mapenzi ni the best hip hop love song of all time kwa hapa tz . Kwa mujibu wa mimi.
Mkuu kwanza asante kwa kunikumbusha kwamba jamaa alikiwa akiishi Sweden,
Kiukweli nchi hii haithamini uasisi wa vitu mbalimbali. Hii ndiomaana mpaka leo Tanzania tunashindwa kutengeneza hata soksi. Hebu angalia wazo la Maralia lililoasisiwa na Sugu akitokea USA kipindi hicho likaporwa na kile kijamaa kishenzi cha Clouds fm na kikapata mnuso wa kutosha kwa mawazo ya Sugu. Mpaka leo hii mwenye wazo lile hajanufaika lolote iwe kwa kutambuliwa au kunufaika kipesa. Hivi mtu wa namna hii anaweza kupata moyo wa kuumiza kichwa kutoa mawazo mengine mazuri kwa nchi yake??? Nasikitika sanaq kunamijitu inamdharau Sugu hapa.. laiti wangeijua thamani ya kichwa hiki ndani ya hii nchi wangeziba mibakuri yao..!!
Nikija kwenye Mziki mkuu nadhani kunatofauti kati ya mziki wa Dola Soul, Sugu, Prof J (Hiphop) na mziki Inspector Haroun, Mandojo & Domokaya (Bongofleva) So kibongobongo nikisema Bongofleva nikiijumlisha na Hip-hop, nakua kama nakosea. Lakini nikienda nje ya nchi, Bongofleva inafahamika ni mziki wowote wa Tanzania ulioktk maudhui hayo (ukijumuisha na hiphop) Ni kama jina Bongo, kwazamani ukiwa hapa nchini ukalitamka hili, unamaanisha Dareslaam. Lakini ukiwa nje ya nchi unamaanisha Tanzania..!!!
So maana yangu ilikuwa hapo, kwani inafahamika wazi mziki wa kurap ulipoanza hapa nchini ilikuwa ni hiphop pekee. Baada ya mziki huo kukua ndipo zikaanza R&B na baadaye wakaanza hawa kina Inspector Haroun kuimbaimba. Kuimba kwa Inspector na kwa Sugu ni tofauti, So nilitaka kujua ni nani aliyeanzisha hii Style ya kina Inspector ambayo tunaona mpaka sasa ndiyo iliyoshika soko na kuwatoa kina Kiba Dimpoz, Diamond, kiasi kina Madee wakaimba Hiphop haiuzi..!!!
Wish nimeeleweka mkuu Matola. gwijimimi matumbo Deo carleone for more detail.!!
BACK TANGANYIKA
kwa mujibu wa walio wengi mzazi, ile ngoma hata ukimsikilizisha dogo aliyezaliwa juzi ataielewa, halafu kimtaamtaa inasemekana ni story ya kweli
Sugu Baba yake alikufa akiwa bado mdogo amelelewa na mama yake, ni moja ya sababu ya kuanza life la mtaani mapema na kama kawaida hard work pays.
Anayemchukia mtu kama Sugu anajitafutia laana ya bure tu kwa Mungu, mshkaji amepigana kiume mpaka leo kufikia hapo alipo.
Kuna mafala wasiojuwa ni kwa nini Sugu ametokwa na machozi wakati anamjibu yule malaya wa viti maalum.
Ndio maana kwenye verse yake ya waniita Sugu anasema "nayayajuwa matatizo zaidi yako na hata kama ni msoto nimesota zaidi yako kwahiyo usinione brazameni kwakuwa niko na mkoko......
Sugu Baba yake alikufa akiwa bado mdogo amelelewa na mama yake, ni moja ya sababu ya kuanza life la mtaani mapema na kama kawaida hard work pays.
Anayemchukia mtu kama Sugu anajitafutia laana ya bure tu kwa Mungu, mshkaji amepigana kiume mpaka leo kufikia hapo alipo.
Kuna mafala wasiojuwa ni kwa nini Sugu ametokwa na machozi wakati anamjibu yule malaya wa viti maalum.
Ndio maana kwenye verse yake ya waniita Sugu anasema "nayayajuwa matatizo zaidi yako na hata kama ni msoto nimesota zaidi yako kwahiyo usinione brazameni kwakuwa niko na mkoko......
hii dunia ya ajabu sana siku hizi...watu wanatetea ujinga ujinga...
Huyu alishiriki kwenye piga makofi ya Prof Jay. Piga makofi tafadhali.!eAkumbukwe Sosikeneth Ambakisye Sos B.
Kuna watu wamekuja kuchafua uzi, sio kila sehemu ni lazima tumalizie frustrations zetu za kimaisha. Tuwe positive sometimes kuaprishieti watu wengine ata kama atuwapendi.
Hapa nipo njiani natoka msibani kumsindikiza marehemu mzee mlingwa, babake na Mx. Nimejifunza mengi kuhusu maisha, maisha haya tunapita tu tutumie uhai wetu vizuri. Rip mzee mlingwa.
We jamaa kweli ni mshamba kinoma,sugu katoa kitabu cha historia yake about 3yrs ago na kaeleza kila kila kitu halafu leo unasema bila mange usingejua km sugu kapitia life gumu,ni mabwege tu kama wewe ndio mnao muona mange bab kubwa kumbe na yeye poyoyo tu!
Huyu alishiriki kwenye piga makofi ya Prof Jay. Piga makofi tafadhali.!
Bila Mange tungejuaje huyu jamaa CV yake alikuwa mlinzi wa wa BP? au O LEVEL AU FURAUNI?
chadema MNA MATATIZO thread zote tulizochangia zimefungwa basi bakini na hii yenu susu hatuchangii maana kuna sheria siku hizi zinawalinda ninyi wengine tutaumia
msitutafuti BUN km hamtaki kuingia kwa mange basi mmeshinda
kwa mujibu wa walio wengi mzazi, ile ngoma hata ukimsikilizisha dogo aliyezaliwa juzi ataielewa, halafu kimtaamtaa inasemekana ni story ya kweli
Umechelewa kulijuwa hili, inaonekana bado hujapata misukosuko ya kufiwa na uwapendao, mimi kwa mara ya kwanza tulivyompoteza first born wetu nayajuwa haya mambo vyema ndio kwa mara ya kwanza nilikubali kuingia monchwari na kushuhudia kaka yangu akifanyiwa usafi na dressing, ilikuwa mwaka 1998, leo mimi ndio kaka mkubwa nayajuwa vyema haya.
We only live once, tenda mema weka hazina yako mbingu baasi.
bila kuwasahau 'gwm - gangstaz with matatizo' walimrudisha sugu kwenye airwaves ile mbaya na ile ngoma yao ya 'yamenikuta'....wapi 'D-chief' na "KR"