Ni mama tu daima na milele
Hakuna kama mama
Mhhh kila penye mjuz kuna mjuzi zaid yake naamin Bibi kweli ni kama mama
Ndio maana na yeye ni mama wa baba au mama, tunarudi pale pale HAKUNA KAMA MAMA.
Halafu hawa ndege inasemekana katika maisha ya kuzaliwa, kuchanua, kuzaa mpaka kufa kwao wanakuwa na partner MMOJA tu.
I love my mama ROZALIA. mom Im luck 2 be ur son.