Nani kama Makonda?

Kama wewe hasa uko bize na kazi gani kama si kusifia hata vitu vya hovyo kama hivi !!????

Mkuu kusifia ujenzi wa madarasa ni upuuzi? Kama kujenga madarasa ni kitu cha hovyo basi nyie endeleeni kupiga domo. Kuna siku kila mtu atavuna alichopanda.
 
Niwewe maana akili zenu zinfanana
 
Mkuu na wewe unalipwa kutukana? Tufanye kazi hakuna namna siasa za mteremko zama hizi ni ngumu. Kutegemea mdomo kama ndio nyenzo ya kisiasa kumeshapitwa na wakati mtabaki kulaumu watu wako busy na kazi.
Sasa wewe mbona unafanya siasa za mteremko?
Piga kazi tutaona wenyewe acha mdomo huku jf
 
Watu wengine ovyooo! Sasa mpeleke akaoe kwenu aimarishe undugu wenu
 
ukimaliza kumfulia nguo ufute na viatu then mvalishe.
mtumwa wewe
 
Dogo anajipanga vipi maana kwny uteuzi moya hayumo hata ukatobu kata hana duhh majanga
 
Apelekwe Wilaya Ya Magu Ili Tumpime Vizuri Maana Dar Kick Za Media Pia Zinawabeba, Mtu Anaongelea Mtaa Wa Baa Anapigiwa Makofi?
Nafikiri Angeongeza Ubunifu Kwa Kuhimiza Ujenzi Wa Maktaba Ya Umma Watu Wapate Sehemu Tulivu Za Kujisomea Na Kupunguza Ulevi
 
Nafikiri bado ujaijua vizuri picha ya Makonda now kwa wananchi. Nimeandika hii baada ya mjadala mzito hapa Kinondoni watu wanasema kawafunika mpaka mawaziri wa Magu. Wewe unalazimisha image unayotaka wewe. Kaa hivyo hivyo.
mjadala wa wanywa viroba unaleta hapa!
hivi makonda huo u dc ameutumikia kwa mda gani? haitoshi kumsifia mtu ktk utumishi chini ya miaka 5. ni ujinga kuanzisha uzi wa kumsfia mtu asiye na chembe ya maadili mbele ya jamii. nasema makonda hafai hata kama atafanya kaz 24hrs, siku 7 za wik, miez12 bila kupumzika au kwa mafanikio kiasi gani, hayo yote hayafanyi kwa kuwa ni mzalendo bali anasaka madaraka na sifa binafsi. kama ni mzalendo asingemdhalilisha warioba, asingewadhalilisha watumishi wa ardhi wala kubenea.
 
Mkuu I have already sent my "LIKE" to your post.
Ila hapo kwenye kuondoa baa za vichochoroni kwenye makazi ya watu tunapasubiri kwa hamu-(ATAPAWEZA?),na tunamtakia kila la kheri ingawa pana changamoto kubwa.
 
Hata yeye alianza kama wewe, ongeza mwendo tafuta wa kumfunga kamba za viatu. Pia tafuta nafasi ya kumpiga ngwala Lowasa, utatoka tu.
 
Hakuna km yeye, anasifika darisalama nzima, kuliko wakuu wote wa wilaya za mkoa wa darisalama, nashauri apewe umanju
 
"..Eti makonda ndo nani? hatumjui huku ujiji-kigoma"
 
Mkuu na wewe unalipwa kutukana? Tufanye kazi hakuna namna siasa za mteremko zama hizi ni ngumu. Kutegemea mdomo kama ndio nyenzo ya kisiasa kumeshapitwa na wakati mtabaki kulaumu watu wako busy na kazi.

Hivi mkuu kuna mahali nimetukana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…