NANI KAMA BABA?

Dah kweli mkuu




Hajaacha kuniwekea mafuta ya taaa kwenye ubwabwa
 
HAKUNA ZAIDI YA BABA , MWANZO MWISHO NI BABA
Jasho lake anatafuta mahari ya kumuoa mama, anajenga family na kuisimamia kwa jasho lake,
anatoa MBEGU kwa mama kukuzaa wewe, anakusomesha n.k
 
Baba kuku bwaga ni rahisi sana lkn kwa usalama wake!! km mama hayuko sawa siyo kosa lake ni la mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…