Nani kama Aliko Dangote?

chaUkucha

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,382
1,212
Aliko Dangote works 18 hours a day. You work 9 (actually it's 5) and have the audacity to say you want to be like him!
He's is been working since 1978. You've been working since five years ago.
He's been working on HIS business. You've been working on your boss's business.
He reads serious books and listen to serious people to challenge his mind. You read newspapers and watch TV to entertain your mind "after the days hard work"....LOL
He wants to expand his business all over the world so he can impact the world. You just want a salary increment so you can eat in nicier restaurants and post it on instagram.

Your grand children will ask archaeologists and scientists to dig up your skull and check it to see if you actually did have a brain.
 
duh hii kiboko,,, ndio hivyo tena mkuu watu wanataka salary increment halafu mwisho wa siku wanasumbua watu kwenye vipub sinza na mwenge pale,,, wengine wanategemea za babazao watoke kimaisha na kutusumbua...
 
Na mlimani city pia wauza sura wanapendaga sana pale, wanasemaga bata batani.
 
Kila mtu na apambane na hali yake...Maisha yenyewe mafupi sana haya..
 
Kweli jamaa ni noma! 18Hrs a day?
The man is a serious person with a serious work ethic and business acumen.

Maybe utashangaa zaidi ukijua yafuatayo
1. In 2008 (just 8 years ago) he was no 334 on the list of reach people in the world. Nenda kaangalie www.forbes.com now yuko namba ngapi then ujiulize kama 18hrs is a fair deal or a hoax

2. In three years from 2008 to 2011 utajiri wake ulipanda kwa 55%

3. Mwaka 2019 atakapokuwa na umri wa 62 years anasema anatarajia kuwa na utajiri wa $70 billion, utajiri huo ni almost utajiri wa mtu wa tatu duniani (Warren Buffet $72 billion)
 
Asante Na kwaheri
 
Na anategemea kuinunua Arsenal.
$9b ya oil refinery iko njiani jamaa anapiga kazi haswa
 
Sasa unataka niwaze kama yy au nifanye kazi 18hrs kama yy. Labda ungechukua details za kipindi anaanza frm the scratch ndio utupe tujue tunaanzaje sio za sasa maana naamini alivyoanza alikua hafanyi for 18hrs.
Kufanya kazi 18hrs na mkwanja anaoingiza hata uambiwe ufanye hyo kazi kwa 24hrs utafanya tu. Pesakwanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom