Huwa ananyolewa na vinyozi waliochaguliwa na ule mfumo ambao watu wake ni la saba B na ambao ndio hujadili na kuchambua nywele zilizonyolewa kutoka kwa wanaume wote kwenye hicho kisiwa cha maziwa na Asali.Kipo kijiji ambacho sheria kuu pale ni kuwa kinyozi hunyoa ndevu za wanaume wote ambao hawajinyoi ndevu zao wenyewe tu/=. Mwanaume yeyote anayejinyoa mwenyewe yule kinyozi hapaswi kumnyoa.
Sasa swali ni, nani hunyoa ndevu za kinyozi?
Kama kinyozi anajinyoa ndevu zake mwenyewe, basi hawezi kuwa ananyoa ndevu za wanaume ambao hawajinyoi pekee.
Lakini kama kinyozi hajinyoi ndevu zake mwenyewe, basi yeye ni miongoni mwa wanamume ambao hawajinyoi ndevu zao wenyewe, na kwa hiyo kinyozi atapaswa ajinyoe.
Swali kwako ni je, nani humnyoa kinyozi?
Akili kubwa ndio itaelewa maana ya post yako 🔨🔨🔨 (Katiba Mpya ndio itamnyoa Kinyozi)Kipo kijiji ambacho sheria kuu pale ni kuwa kinyozi hunyoa ndevu za wanaume wote ambao hawajinyoi ndevu zao wenyewe tu/=. Mwanaume yeyote anayejinyoa mwenyewe yule kinyozi hapaswi kumnyoa.
Sasa swali ni, nani hunyoa ndevu za kinyozi?
Kama kinyozi anajinyoa ndevu zake mwenyewe, basi hawezi kuwa ananyoa ndevu za wanaume ambao hawajinyoi pekee.
Lakini kama kinyozi hajinyoi ndevu zake mwenyewe, basi yeye ni miongoni mwa wanamume ambao hawajinyoi ndevu zao wenyewe, na kwa hiyo kinyozi atapaswa ajinyoe.
Swali kwako ni je, nani humnyoa kinyozi?
NAKAZIAKatiba Mpya ndio itamnyoa Kinyozi