Nani chizi zaidi?

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
(Mlevi#1);Mi nataka kununua dunia. (Mlevi2);Huwezi. (Mlevi#1);Kwanini siwezi?>>>>>> (Mlevi#2);Huwezi kwa sababu sina mpango wa kuiuza dunia.
 
Hahahahaaaa kwa kuwa wamekunywa tuwaache ila pombe zikiisha tuwapime akili yupi chizi zaidi
 
mi naona we ndo chizi kwa7bu umeandka haya
Hata chizi ana maisha ya furaha na kujiamini kwa sababu anaamini wale wenye akili nzuri ndo machizi,so endelea kujiachia hapo jalalani,LIFE IS GOOD!
 
unautani na wapiga mambo yetu yale
 
Hata chizi ana maisha ya furaha na kujiamini kwa sababu anaamini wale wenye akili nzuri ndo machizi,so endelea kujiachia hapo jalalani,LIFE IS GOOD!

kwahyo na wewe unajikubal kua ni chizii???oofyo kabisa wwe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…