Alichosema Cameron ni ushenzi, upuuzi na ujinga mkubwa kabisa. Hapo hamna cha haki za binadamu wala nini ni ufirauni mtupu, hivi yeye akisikia mtoto wake wa kiume kaamua kushikishwa ukuta atafurahi kabisa hatamkataza kuchelea kuvunja haki za binadamu. Sasa endapo UK wakipitisha sheria ya kuhalalisha incest(kaka na dada/kijana na mamaye/binti na babaye kukutana kimwili) nasi pia tutaikubali?, au wakipitisha sheria ya kuhalalisha abortion nasi pia tukubali. Naungana na mchangiaji wa hapo juu kwamba Kikwete yampasa kutoa tamko, to hell with the grant they are giving to the government, kwanza grant yenyewe hata haifiki $bil1 tunaweza kuipata kwenye maliasili zetu.
Ila nikikumbuka sheria ya ugaidi ilivyopitishwa haraka haraka kushinda hata huko UK kwenyewe napata wasiwasi.