Nani atupe...

Nani atupe...

hamukoko

Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
34
Reaction score
10
Ndani ya meli,watu makabila tofauti walikua na mizigo,meli ilizidiwa ilibidi mizigo ipunguzwe,Mzungu akatupa computer, akasema"kwe2 zpo tele,Mchina akatupa box la cmu akasema"kwetu zipo tele" Muhindi Akamwaga kiroba cha tambuu akasema kwetu zipo kibao, Mmasai akatupa shanga.. Mchaga anahaha hajui atupe nini kila kitu chake anakionea uchungu ,ghafla alimtumbukiza Mmasai akasema"Yesu na maria hawa wapo tere ARUSHA.


 
Du, mmasai kumbe sio mtu...mmasai ni kitu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom