Nani atakuwa mchezaji bora wa EPL msimu huu?

ven1965

Member
May 11, 2018
74
143
Habari wadau,

Kutokana na janga la virusi vya korona lilivoathiri misimu ya michezo karibu dunia nzima lakini badae ligi baadhi ya ligi zakakamilika na nyingine kufutwa na nyingine zinaendelea na tumeshuhudia EPL pale Uingereza imeisha juzi. Je, ni mchezaji gani anastahili tuzo ya mchezaji bora wa mwaka katika ligi kuu ya Uingereza msimu huuu 2019/20.
 
Kdb
 
KDB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…