Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,049
- 1,022
WANUFAIKAJI WA MFUMO HUO NA FAMILIA ZAO!
ii
Mimi na wewe, pamoja na wasiokuwa wachagga, na UKAWA original. CCM itashinda nyie mko wachache.
Unanufaika na mfumo wa ccm vinginevyo waonee huruma wengine. Tuichague ccm kwa lipi hasa. Pia unaukabila ndani yako
Mimi na wewe, pamoja na wasiokuwa wachagga, na UKAWA original. CCM itashinda nyie mko wachache.
ACHA DHANA OVU!/
ACHA UMUFILISI WA FIKRA!
ACHA UKABILA!
->>usipandikizwe uovu na waovu na walafi,wanaojiona wao tu pekee ndio wanaostahili!
Hakuna kitu hapo, maneno tu hayo hata kwenye khanga yapo, CCM itapigiwa kura na wazalendo na werevu tuHivi kweli wapanga kampeni wa ccm hawajui kama mgao wa umeme unamharibia mgombea wao. Au ndio wameamua tu kumtoa sadaka mzee wa watu asipate kura hata asilimia kumi
Usipanic ukweli ni ukweli tu, angalia groups zao FB ndio utakubaliana na mie. Hakuna uovu kusema ukweli CCM utapata kura.
Hapa wenzio umeme umekatika saa 12 na robo, hapo ndio nitolee hadi jioni au kesho asubuhi. Kwa style hii ya mgao wa umeme nani anaichagua CCM
Facebook haipigi kura watanzania Ndio watapiga kura, angalia % ya watanzania wanaotumia Facebook, tweets, na website.
UKAWA mtapigwa asubuhi na mapema usidhani watanzania wamesoma sera zenu kwenye website.