Nani atafaa kuogombea Urais kwa CHADEMA 2020?

Nani atafaa kuogombea Urais kwa CHADEMA 2020?

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
4,582
Reaction score
2,783
Kwanza niseme binafsi simwitaji EL kuwa mpeperusha bendera ya CHADEMA 2020, ila kama anataka asitafishwe siasa kwa lazima agombee.

Ila kwa ujumla naangalia tunavyojipanga na tunavyoenenda ndani ya chama chetu cha CHADEMA, hivi ni nani anaweza kupeperusha bendera yetu 2020?

Ukiangalia kwa macho ya nyama hupati hata mmoja labda itokee kama 2015. Kama Dr. Slaa ambaye tuliamini alikuwa na nguvu ya kuitoa CCM bila jasho kabisa, kwa sasa nani anafikia hata nusu ya Dr. Slaa pale kwetu?

Ni mawazo tu haya.

Hebu tuchangie kwa utulivu.
 
CHADEMA hakuna anayeweza kutuvusha salama. Kinachokosewa ni ukiritimba katika chama kuwaamini watu wachache tunaofikiri bila wao chama hakiendi. Tulitakiwa kujikita katika kuwaandaa viongozi wenye nguvu ya kupeperusha bendera ya chama siku zijazo. Na si hii ya kwamba Bila Mbowe au nani chama hakiendi. Mtazamo wangu asimame mh Frederick Sumaye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani EL alishatengua maamuzi yake? si alisema atagombea tena 2020!!!
 
Katiba hairuhusu mjadala huu funga bakuli lako
 
Nyakati fulani rafiki yangu Zitto ali dream/waza/aspire innocently kugombea urais kupitia chadema. Reaction iliyotokea chadema ilikuwa kubwa, negatively kumpinga bila kuangalia ni mtoto wao, zao lao, anatamani hivyo...ilipita ile na tulii note. Athari yake ni kuwa ndoto zile zilizimwa kwa vijana wote ambao wangetamani pia siku moja kuwaza kuwa rais....

Ndio unakuta CCM wanakuwa na wagombea 40 wa nafasi moja....na vyama vingine wanakuwa 2,3 au hakuna

EL ashasema anagombea 2020..hakuna wala sijasikia akipingwa kama ambavyo ilitokea kwa wengine!!! na hata kuwekwa pale sidhani kama kila mmoja wenu aliridhia

Huwa nasema pale wanachama watakapokuwa na uwezo wa kukosoa, kuonya, kishauri uongozi wa vyama vyao ndo chachu ya mabadiliko kwa taifa zima.

Slaa angegombea 2015 asingepata kura nyingi kama EL ila bado angeweka stable foundation kwa chadema kubeba nchi 2020!! hili gumu kueleweka hasa pale watu wanapotaka miujiza....filosofy ya cdm isingepotea na Slaa angekuwa rais halisi wa mioyoni

Hivi mtu aliyekuja CDM baada ya kukatwa huko unaweza kujihakikikishia kuwa ni mwanachadema? what drives Mbowe? mabadiliko halisi, hela/biashara au??

povu ruksa
 
Nyakati fulani rafiki yangu Zitto ali dream/waza/aspire innocently kugombea urais kupitia chadema. Reaction iliyotokea chadema ilikuwa kubwa, negatively kumpinga bila kuangalia ni mtoto wao, zao lao, anatamani hivyo...ilipita ile na tulii note. Athari yake ni kuwa ndoto zile zilizimwa kwa vijana wote ambao wangetamani pia siku moja kuwaza kuwa rais....

Ndio unakuta CCM wanakuwa na wagombea 40 wa nafasi moja....na vyama vingine wanakuwa 2,3 au hakuna

EL ashasema anagombea 2020..hakuna wala sijasikia akipingwa kama ambavyo ilitokea kwa wengine!!! na hata kuwekwa pale sidhani kama kila mmoja wenu aliridhia

Huwa nasema pale wanachama watakapokuwa na uwezo wa kukosoa, kuonya, kishauri uongozi wa vyama vyao ndo chachu ya mabadiliko kwa taifa zima.

Slaa angegombea 2015 asingeta kura nyingi kama EL ila bado angeweka stable foundation kwa chadema kubeba nchi 2020!! hili gumu kueleweka hasa pale watu wanapotaka miujiza....filosofy ya cdm isingepotea na Slaa angekuwa rais halisi wa mioyoni

Hivi mtu aliyekuja CDM baada ya kukatwa huko unaweza ujihakikishia kuwa ni mwanachadema? what drives Mbowe? mabadiliko halisi, hela, biashara au??

povu ruksa
Haya msalimie polepole apo Lumumba

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Kwanza niseme binafsi simwitaji EL kuwa mpeperusha bendera ya CHADEMA 2020, ila kama anataka asitafishwe siasa kwa lazima agombee.

Ila kwa ujumla naangalia tunavyojipanga na tunavyoenenda ndani ya chama chetu cha CHADEMA, hivi ni nani anaweza kupeperusha bendera yetu 2020?

Ukiangalia kwa macho ya nyama hupati hata mmoja labda itokee kama 2015. Kama Dr. Slaa ambaye tuliamini alikuwa na nguvu ya kuitoa CCM bila jasho kabisa, kwa sasa nani anafikia hata nusu ya Dr. Slaa pale kwetu?

Ni mawazo tu haya.

Hebu tuchangie kwa utulivu.

Sina uhakika kama mwaka 2020 Tanzania tutakuwa na Chama kiitwacho CHADEMA nchini Tanzania kwa jinsi hali inavyoenda.
 
Back
Top Bottom