Ngoja nimtafte mzee wa ndovu tupige dili la kuwapeleka tembo ahela lakini meno yao tuyapeleke china,nikirudi na dollars,euros,paunds nanyoka moja kwa mok kwa MADAME B.
Ngoja nimtafte mzee wa ndovu tupige dili la kuwapeleka tembo ahela lakini meno yao tuyapeleke china,nikirudi na dollars,euros,paunds nanyoka moja kwa mok kwa MADAME B.
Mbona kila kitu kiko wazi mkuu na watu wamepata watoto mapacha juzi kati tu. Ukitaka ushahidi mzuri ukiangalia picha hata hivi karibuni wakati Mheshimiwa Mengi amehudhuria kongamano fulani la wanawake wajasiriamali huyo mamsapu alikuwepo beneti.
pesa hizi sijui ziko wapi,huyu ndg yangu katika mambo hayo kama ni kweli basi ipo kazi.Maana aliisha zungumziwa na yule dada mwingine v.sweet sasa na huyu tena,anyway kila binadamu ana weakness yake,anayoyafanya ni makubwa@
Mbona lika kitu kuko wazi mkuu na watu wamepata watoto mapacha juzi kati tu. Ukitaka ushahidi mzuri ukiangalia picha hata hivi karibuni wakati Mheshimiwa Mengi amehudhuria kongamano fulani la wanawake wajasiriamali huyo mamsapu alikuwepo beneti.